Dira & Dhamira

Dira

Kuwa na Jamii ya Wazanzibari inayojiweza, iliyoendelea na kuimarika kiuchumi

Dhamira

Kuimarisha hali ya kijamii na kiuchumi ya wananchi wa Zanzibar kwa kutoa na kutumia fursa za kiuchumi zilizopo na zitakazokuja, kushajihisha utamaduni na uwezo wa ujasiriamali, kukuza uwekezaji wa ndani na nje, upatikanaji wa kazi za staha na kuzingatia sheria na viwango vya kazi