HAFLA YA UTIAJI SAINI MKATABA WA UTEKELEZAJI WA VITAKASA MIKONO (ANTISEPTIC AND DISENFANCTANT) KUPITIA MFUMO WA UWEKEZAJI WA PPP
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Ndugu Khamis Suleiman Mwalim, Mkurugenzi Mkuu Wakala wa Bohari ya Dawa Ndugu Abdul Mzale na Mkurungezi wa Kampuni ya NCW Health Care LTD Bi Lucy Zebedayo Lushuki wakisaini Mkataba wa Utekelezaji wa Vitakasa Mikono (Antiseptic and Disenfanctant) kupitia mfumo wa Uwekezaji wa Mashirikiano baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) huko katika Ukumbi wa Bohari ya Madawa Maruhubi.




